Alhamisi, 27 Juni 2013

CARLOS TEVES AJIUNGA NA JUVENTUS
Mshabuliaji aliyekuwa wa timu ya manchester city amejiunga rasmi na timu ya juventus kwa ada ya E7.6M na kusaini mkataba wa miaka mitatu na anatalajiwa kupewa jezi namba 10 ambayo iliwai kutumiwa na mangwiji wa soka katika klabu hiyo kama michel platini na alessandor der pielo.

Teves atakumbukwa  na mashabiki wa manchester city kwa mkwaluzano na kocha wa wakati huu roberto mancini mwaka 2011
   MOYES KUHOFIA KUIBUA MSUGUANO TENA
 
kocha mpya wa klabu ya manchester united david moyes anaofia kuibua msuguano mwingine na mshambuliaji wa klabu hiyo wayne rooney katika harakati za kumshawishi mshabuliaji huyo kubakia klabuni hapo ikumbukwe moyes na rooney walikwaruzana pindi rooney alipokua anataka kuama klabu ya everton

Alhamisi, 6 Juni 2013

                                                  ARSENAL KWA KINDA KUINGO


                      Arsenal imelekeza nguvu zake kwa kinda kiungo wa kijerumani wenye umri wa miaka 19.Arsenal imemtengea kitita cha E5M  matthias ginter anae kipinga katika klabu freibury na timu ya U21 ya ujerumani.
                                     ARSENAL KUWAACHIA WACHEZAJI WATATU


            Arsenal iko mbioni kuwaachia huru wachezaji wake watatu andrey arshavin,sebastian squillaci na denilson.Arsenal imefikia hatua hiyo kutokana na wachezaji hao kushuka kiwango kupita kiasi                                  Andrey arshavin alijiunga arsenal kwa kitita cha E15M na kuifungia arsenal magori 31 katika mechi 144 katika kipindi cha miaka 5 aliyokaa arsenal.Arsenal watamkumbuka kwa kuwafungia gori 4 katika uwanja wa anfield na alipofunga gori la ushindi dhidi ya barcerona katika kombe la UEFA na Denilson amekuwa nje ya asenal kwa mkopo wa miaka 2 nchini brazil sasa ni mda wakumuachia huru denilson ameichezea arsenal mechi 153 toka mwaka 2006 hadi 2011 na kushindwa kulinda namba yake mpaka kutemwa katika kikosi cha kwanza na kuachiwa kwa mkopo na Squillaci amedumu arsenal kwa mda wa miaka mitatu na kushindwa kufanya chochote na hivyo muda wake wa kuondoka umefika

Jumatano, 5 Juni 2013

 MWAKA WA KUSTAHAFU MASHUJAA WA SOKA
                                    
                    Huu umekuwa mwaka wa majozi kwani mangwiji wa soka kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao walikuwa vipenzi wa mashabiki ulimwenguni kote kutokana na uwezo wao uwanjani waliamua kuachana na soka na kutangaza kupumzika mpira hii imekuja huku kocha wa manchester united sir alex farguson kuamua kuachia ngazi na kustahafu nafasi yake huku nawachezaji kama eric abidal nae kuamua kuachana nasoka ili kuweza kupumzika na david beckham nae kuamua kuachia ngazi nae kupumzika mwishoni wa msimu huu nae poul scholes kuamua kupumzika katika soka
                                               USAIN BOLT HAMRIRIA FARGUSON


                   Usain bolt ameyatamka hayo katika mahojiano yake na kusema kuondoka kwa farguson ilikuwa siku mbaya kwake kutokana farguson alikua rafiki yake na alimuaidi kumpa nafasi katika kikosi msimu ujao sasa hayupo tena yupo moyes itakuwa ngumu sana naumia sana.                                                                    kumbukwe kuwa huyu ndie bingwa wa olympic na alikuja uwanja wa manchester united kuonesha medani tatu za dhahabu mwaka jana ambazo alishinda katika mashindano ya olympic yaliyofanyikia london mwaka 2012.
                                    JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED 2013/2014
                                          Hii ndio jezi mpya ya manchester united 2013/2014

Jumanne, 4 Juni 2013

                                                 ARSENE WENGER KWA ROONEY
 

                     Kocha wa arsenaL arsene wenger anajianda kuanza harakati za kumsainisha rooney katika timu yake hii inakuja kutokana na wenger kufuatilia mienendo ya rooney tangu alipoamua kutaka kuondoka manchester united kufuatia kutoelewa namba yake maalumu katika kikosi cha kwanza cha ,timu yake hiyo huku timu kama chelsea.paris saint germain.bayern munich nazo zimekua zikimfatilia rooney(27)
                                             RONALDO AKATAA MKATABA MPYA


                   Winga wa real madrid cristiano ronaldo amekataa mkataba mpya wa miaka mitatu na real madrid hii inakuja baada ya real madrid kutaka kumbakisha winga huyu mreno lakini ronaldo akuwa tayari .Wadadisi wanasema kutokana na kitendo hicho itakuwa ni njia mojawapo wa kutaka kuondoka hapo ikumbukwe ronaldo aliwai kusema ana furaha klabuni hapo.
                                  KEVIN STROOTMAN NJIANI KUTUA MANCHESTER UNITED


                                Manchester united  mbioni kukamilisha uhamisho wa mdachi  Kevin strootman(23) wa PSV kwa ada ya E9M. ikiwa kevin strootman atatua man u  itakua saini ya kwanza kwa kocha david moyes tangu achukue mikoba ya ukocha wa kuinoa mannchester united
                                          JAPAN YAFUZU IKIWA TIMU YA KWANZA


                 Japan imekua timu ya kwanza kufuzu kucheza kombe la dunia baada ya kutoka sare ya kufungana gori moja kwa moja na australia na kuiwezesha japan kufuzu na kuungana na brazil ambaye yeye nimuandaaji wa mashindano au huku australia inaitaji kushinda mechi zake mbili ilizobakiza ili kuweza kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani brazill
                             MANCHESTER UNITED KUMNASA EZIQUEIL GALAY

                  Manchester united iko mbioni kumchukua beki wa  benfica  ezaqueil galay(26) kwa ada ya E20M baada ya kuwapiku barcelona katika harakati za kumfukuzia beki huyo wa zamani wa real madrid ikiwa eziqueil galay atatua manchester united atakuwa muargentina wa nne kuwa mchezaji wa manchester united kwani walio tangulia kuchezea manchester united raia wa argentina ni  juan sebastian veron,carlos tevez,gabriel heinze
                                             MIROSLAV DJUC KOCHA VALENCIA FC

valencia imekamilisha hatua zote za kumsainisha mserbian kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili
                                        WANYAMA MBIONI KUTUA ARSENAL

Arsenal iko mbioni kunyakua kiungo wa celtic kufuatia arsenal kujianda kutoa kitiata cha E10m ili kumyakua victor wanyama
                                           JOSE MOURINHO KWA DE ROSSI


    Baada ya kushikilia ukocha katika clabu ya chelsea jose mourinho amekua akijianda kwa msimu ujao kwa kuanza kutafuta wachezaji hivyo kwa sasa amekua karibu ili kuweza kufukuzia saini ya  danielle de rossi kiungo wa AS Roma 
                                           ROBERTO CARLOS AWA KOCHA
         Beki wa zamani wa timu ya taifa ya brazil na vilabu mbalimabali duniani amechaguliwa kuwa kocha wa clabu ya savasspor ya nchini uturuki  na kupewa mkataba wa miaka miwilki  roberto carlos(40). ikumbukwe kua alikua beki mzuri sana katika kipindi chake cha uchezaji

Jumapili, 2 Juni 2013

                                       REAL MADRID KUVUNJA REKODI WA BALE


                        Real madrid iko mbioni kuvuja rekodi yake iliyo iweka kwa cristiano ronaldo kwa kutoa kitita cha E85M ili kumchukua gareth bale katika kipindi hiki cha usajili ikumbukwe kuwa real madrid imekua timu tishio sana katika usajiri miaka mingi kwa kutoa vitita vikubwa sana ilimradi kuwanasa wachezaji ambao imekua ikiwaitaji
                              LUKAS POLDOLSKI ATAKIWA NA BORUSSIA DURTMUND


             Timu ya Borussia Durtmund iko mbioni kufukuzia saini ya mshamburiaji wa arsenal lukas poldolski katika hatua mojawapo ya kuimarisha kikosi chake katika msimu ujao.Poldolski amekua katika kipindi kizuri sana katika clabu yake ya arsenal mpaka kuiwezesha timu yake hiyo kumaliza katika nafasi ya nne katika msimu huu
                                               
                                                  MONACO FC YAMTAKA NANI
          Manchester uingereza timu ya monaco fc kutoka ufaransa iko tayari kutoa kiasi cha E20M kwa winga wa mabingwa wa msimu huu wa uingereza manchester united Luis nani raia wa ureno  ili kuweza kujiimalisha katika harakati za msimu  ujao nani mwenye umri wa miaka 26 akuwa na msimu mzuri mwaka huu katika clabu yake hiyo kiasi cha kupoteza namba katika kikosi cha kwanza

Jumamosi, 1 Juni 2013

                                       
                                                 FIFA NA WABANGUZI WA RANGI

               Chirikisho la mpira duniani FIFA limeonya kwamba timu yeyoye itakayo jiusisha na swala lolote la ubanuzi wa rangi itapatiwa adhabu kubwa ikiwemo ya kupingwa faini kubwa na makosa yakiendelea timu inawezwa kushushwa daraja,kuondolewa katika mashindano au kupokonya pointi.Hatua hii imekuja huku vitendo vya ubanguzi nikiwa vimekithiri katika soka.                                                                                                    Mkuu wa kamati ya ubanguzi FIFA Jeffrey webb amesema kuwa mpira wa miguu ni  nikama familia moja hivyo awawezi kuvumilia vitendo vya kibanguzi katika familia moja.familia yetu inatambua kinacho ripotiwa na vyombo vya habari ni pungufu ya asilimia moja ya matukio ya kibanguzi yanayojitokeza duniani kote.Tunatakiwa kuchukua hatua sasa.                                                                                                            kamati ya FIFA imepitisha azimio hilo kwa asilimia 99 katika mkutano wake ulio fanyika mauritius